Tiger Wrench
Tiger Wrench
Regular price
65,000.00 TZS
Regular price
80,000.00 TZS
Sale price
65,000.00 TZS
Unit price
per
RAHISISHA MAISHA NA TIGER WRENCH
Huna haja ya kutembea na boksi la vifaa ukiwa na spana yetu ya kisasa. Ina uwezo wa kufungua na kufunga nati karibu aina zote. Epuka usumbufu wa kubeba spana nyingi.
Iwe ni kwa ajili ya shughuli za karakakana, urekebishaji mdogo wa nyumbani ama dharura za barabarani, kifaa hiki ni mkombozi wako. Unaweza kutembea na spana yetu popote pale ulipo na kuitumia wakati wowote.
Ina uwezo wa kuzunguka nyuzi 360
Kifaa chetu cha Tiger Wrench kina uwezo wa kuzunguka nyuzi 360 hivyo kuruhusu kichwa chake kufungua na kufunga nati na boriti kwa urahisi zaidi.
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping