Tap Water Purifier
Tap Water Purifier
Regular price
69,000.00 TZS
Regular price
79,000.00 TZS
Sale price
69,000.00 TZS
Unit price
per
CHUJIO LA MAJI YA BOMBA
Maji ya bomba ni hatari sana kama usipoyachuja kwa kutumia kifaa hiki. Aidha unahitaji maji ya kunywa, kupikia, kuogea au kuoshea mboga na matunda, ni muhimu kuyachuja kwa kifaa hiki.
HIFADHI MADINI MUHIMU YALIYOPO KWENYE MAJI
Usipoteze uora wa maji kwa kupata madini yote muhimu kwa ajili ya afya yako.
MFUMO BORA WA UCHUJAJI
Chujio hili linaweza kutumika Jikoni au Bafuni
Rahisi kutumia, kufunga na kusafisha
JINSI YA KUAGIZA
Fuata maelekezo hapa chini baada ya kubofya kitufe cha kuagiza. Anza kufurahia maji safi leo. Kumbuka MAJI NI UHAI
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping