Skip to product information
1 of 8

Quran Speaker

Quran Speaker

Regular price 99,000.00 TZS
Regular price 120,000.00 TZS Sale price 99,000.00 TZS
Sale Sold out

SPIKA YA KUR'ANI

Kujifunza na kusikiliza Kur'ani Tukufu hukufanya uwe karibu na Allah (S.W.T) wakati wote. Tunakuletea Spika hii maalum yenye sifa zote madhubuti zitakazokuwezesha kusikiliza maneno yaliyotukuka kutoka katika Kur'ani kwa tafsiri tofauti na sauti mbalimbali huku ukifurahia rangi za taa. Spika hii inakuruhusu kujifunza na kusikiliza Kur'ani popote na kwa wakati wowote. Pia, ni nzuri kwa watoto kujifunzia.

WASOMAJI 18

Ni sauti ipi inakuvutia? Ni matamshi gani unayaelewa kwa urahisi? Ni mzungumzaji yupi anakufurahisha?

Spika yetu ina majibu yote hayo. Unaweza kusikiliza hadithi mbalimbali zilizosomwa na wazungumzaji 18 tofauti tofauti. Ni maamuzi yako kuchagua ni nani akusomee Kur'ani.

TAFSIRI 14

Spika hii ina uwezo wa kutafsri aya za Kur'ani katika lugha 14 tduniani. Hivyo ni juu yako tu kuchagua lugha ipi unayoilewa na ujifunze mambo mengi katika Kur'ani.

MWANGA WENYE RANGI 7

Rangi hupendezesha, huongeza umakini na utulivu. Fikiria unasikia maneno matakatifu huku ukimulikwa na rangi uipendayo kati ya rangi 7 zinazopatikana katika spika yetu. Ili kubadilisha mwanga, gusa sehemu ya juu ya spika yako kwa sekunde chache. Ni rahisi sana.

RAHISI NA NYEPESI

Spika hii ina mkono maalum wa kubebea. Ni nyepesi na yenye umbo dogo linakuruhusu kutembea spika hii bila kuchoka wala kuhangaika namna ya kuihifadhi. Pia, ni rahisi sana kuanza kuitumia spika yetu.

UENDESHAJI KWA RIMOTI

Huna haja ya kuifuata spika ilikubadilisha kitu, kuongeza sauti au kuzima. Spika yetu ina rimoti ya kisasa itakayokurahisishia kufanya mipangilio mbalimbali ya spika yako. Kusikiliza maneno matukufu si kazi ya kuchosha bali ni kazi ya baraka na rehema tele.

MATUMIZI YA APLIKESHENI

Katika dunia ya sayansi na teknolojia, simu ina nafasi kubwa sana katika uendesjhaji wa kazi na vifaa mabalimbali. Hivyo, spika yetu ina aplikesheni maalum kwenye simu itakayokusaidia kuratibu spika yako pamoja nakufuatilia aya zinazosomwa. Itakurahisishia kubadili lugha, rangi na wasomaji wa Kur'ani.

Pia, unaweza kuunganisha spika yako na simu kwa kutumia Bluetooth. Haya ni mapinduzi makubwa yenye lengo la kujifunza na kuishi vyama neno la Mwenyezi Mungu.

JINSI YA KUAGIZA

Bidhaa yetu inapatikana Tanzania na utaletewa mpaka ulipo utakapoagiza kwa kubofya alama ya KUAGIZA SASA na kujaza taarifa zako. Utalipia bidhaa baada ya kuihakiki mikononi mwako. Ni wakati sahihi wa kuagiza Spika ya Kur'ani tukufu, Amin.

 

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details