Portable Neck Fan
Portable Neck Fan
Regular price
69,000.00 TZS
Regular price
79,000.00 TZS
Sale price
69,000.00 TZS
Unit price
per
FENI YA SHINGONI
Feni hii ya kisasa ya shingoni ni suluhisho la joto wakati wote. Uwe barabarani, mazoezini, kazini na popote pale, feni yetu ndio msaada wa haraka wakati wote.
INADUMU NA CHAJI
Huna haja ya kuhofia umeme wala kuishiwa chaji unapokuwa na kifaa chetu. Feni hii inadumu na chaji kwa muda mrefu mpaka masaa 12 ikiwa inatumika. Anza kufurahia maisha yasiyo na joto.
UPEPO AINA TATU
Unaweza kubadili kiasi cha upepo unachokihitaji. Iwe unahitaji upepo wa kati, upepo wa asili au upepo mkali. Ni uamuzi wako tu ukiwa na feni yako shingoni.
Haina madhara kiafya.
RANGI MBALIMBALI
JINSI YA KUAGIZA
Bofya alama yya kuweka oda kisha fuata maelekezo. Ni rahisi sana. Utapokea taarifa baada ya kuweka oda yako na malipo yote yatafanyika baada ya kuletewa feni yako popote ulipo.
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping