Mini Digital Gadget Storage Box
Mini Digital Gadget Storage Box
Regular price
69,000.00 TZS
Regular price
79,000.00 TZS
Sale price
69,000.00 TZS
Unit price
per
TUNZA VIFAA VIDOGO KIDIGITALI
Bado unahofia kupoteza vifaa vyako vidogo vidogo vya kidigitali? Usiogope tena kwa maana tumekuletea kifaa bora cha kuhifadhi vifaa vyote kwa urahisi na usalama mkubwa.
Huna haja ya kufikiria utakuwa unaweka vipi kadi zako za simu ama kufungua sehemu za kuhifadhia kadi hizo. Kifaa hiki kina sindano maalum ya kutolea au kufungua sehemu hizo.
INATUMIKA KAMA STENDI
Sahau gharama za stendi unaponunua kifaa chetu. Kihifadhio hiki kinaweza kutumika kama stendi ya simu au tablet na kukuwezesha kufanya kazi mbalimbali kwa urahisi. Usiumize mkino tena.
Kifaa hiki ni rahisi kubeba wakati wote
JINSI YA KUAGIZA
Ni rahisi sana kuagiza bidhaa yetu na ukishaagiza utaletewa mpaka ulipo. Cha kufanya ni kuweka oda yako kwa kubofya kitufe cha kuoda na kujaza taarifa zako. Baada ya hapo utapokea taarifa kutoka kwetu
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping