Skip to product information
1 of 6

Light Bulb Security Camera

Light Bulb Security Camera

Regular price 79,000.00 TZS
Regular price 90,000.00 TZS Sale price 79,000.00 TZS
Sale Sold out

TAA YA KAMERA

 Usiwe na wasiwasi na usalama wa nyumba yako, ofisi au popote pale. Taa yetu ya kisasa imetengenezwa na Kamera maalum inayoratibu kila kinachoendelea kwenye eneo lako ukiwa na simu yako ya mkononi tu.

PATA TAARIFA NA VIDEO KWENYE SIMU

Taa hii huunganishwa na simu yako na kutuma taarifa pale inapohisi mtu, vitu au sauti. Unaweza kutazama video zote na kuzicheza popote pale ulipo na kwa wakati wowote.

HUZUNGUKA NYUZI 360

Kamera ya Taa yetu huzunguka pande zote na kumulika pande na kona zote za nyumba. Hata ikiwa nje huangaza pande zote. Usiwe na wasiwasi tena wa usalama wa vitu vyako.


VIDEO ANGAVU

Uwezo wa Kamera hii ni mkuwa. Inarekodi video angavu zenye viwango vya HD na ubora wa 1080p. Furahia kuona kila taarifa kiganjani mwako tu.

 

UWEZO WA KUONA USIKU

Usijali utaona vipi usiku. Kamera hii ina mfumo ulioboreshwa kuwezesha uonaji wa usiku. Hata kama kuna giza utaweza kuona kila  kitu bila shida.

 

 

 RAHISI KUFUNGA NA KUTUMIA

 Huna haja ya kuhangaika jinsi ya kuweka Kamera hii. Hufungwa kawaida kama taa kwenye dari au kona ya nyumba. Kuna mfumo maalum wa uunganishaji wa simu kama aplikesheni. Ina uwezo wa Wi-Fi. Anza leo kutumia Taa hii yenye mapinduzi ya Kamera nchini Tanzania.

JINSI YA KUAGIZA

 


 
  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details