Skip to product information
1 of 6

Rechargeable LED Headlamp

Rechargeable LED Headlamp

Regular price 69,000.00 TZS
Regular price 79,000.00 TZS Sale price 69,000.00 TZS
Sale Sold out

TOCHI YA KICHWANI YA KUCHAJI

Tochi hii ya kisasa ina mwanga mkali utakaokuwezesha kufanya kazi mbalimbali usiku kama vile;

>Uvuvi

>Uchimbaji madini

>Kilimo

>Uwindaji

>Uzalishaji Viwandani

>Utalii

>Ufundi

Geuza usiku kuwa mchana.

CHAJI INAYODUMU

Epuka giza uwapo kazini na usihofu kuhusu chaji. Tochi hii ya mwanga mkkali inadumu kwa muda mrefu sana biila kuchaji. Nguvu ya mwanga wake hukaa kwa muda wote wa matumizi. Unaweza kutumia saa hii kwa masaa zaidi ya matano bila wasiwasi wowote waa kuzimikiwa. Betri lake ni imara.

INAWEZA KUTUNZA UMEME NA KUCHAJI VIFAA VINGINE

Betri lake lina nguvu na uwezo wa kuhifadhi nguvu kubwa ya nishati na huweza kutumika kwa dharura pale kunapokosekana nguvu ya umeme ya kawaida. Usifikirie simu yako kuzima kwa kuishiwa chaji  ukiwwa na tochi hii ya kichwani. Unaweza kutumia tochi kuchaji simu yako au kifaa kingine cha  kielektroniki.

UMBALI MREFU NA MPANA

Tochi yetu humulika pande zote na kufika umbali mrefu zaidi. Unaweza kuona hatari au vizuizi vilivyoko mbele yako kabla hata ya kuvikaribia. Unapoagiza tochi hii ni wakati mzuri wa kuanza kupanga ratiba na safari za usiku bila mashaka yoyote.

INAFAA KIAFYA

Usihofu kuhusu maumivu ya kichwa wala kizunguzungu unapokuwa umevaa tochi hii. Mikanda yake imetengenezwa kwa nyenzo rafiki zinazotanuka na kurekebishika wakati wote wa uvaaji na matumizi.


 

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details