High Pressure Shower Head⭐🎄
High Pressure Shower Head⭐🎄
Regular price
69,000.00 TZS
Regular price
79,000.00 TZS
Sale price
69,000.00 TZS
Unit price
per
BOMBA LA KUOSHEA KICHWA
ACHA UZAMANI
Anza kuishi kisasa kwa kutumia Bomba letu leye shinikizo kubwa. Pendezesha bafu lako na kulipa mwonekano wenye matokeo bora wakati wa kuoga.
KUWA HURU NA UFURAHIE KILA TONE LA MAJI
NAMNA 3 ZA UTOAJI MAJI
Badili kiasi cha maji na namna ya utokaji wake kwa kusogeza kitufe kwenye kichwa cha bomba. Furahia usafi kwa kulinganisha na hisia zako, jinsia au burudiko la moyo wako.
BRASHI YA KUFANYIA MASAJI
Huhitaji kulipia masaji tena kwani bomba letu lina brashi maalum kwa ajili ya kuchua kichwa na ngozi. Ruhusu ngozi yako ipate thamani inayostahili kwa kuichua vyema kwa brashi laini. Ongeza msisimko ukiwa bafuni.
CHUJIO LINATOA MAJI SAFI
Kifaa chetu kimetengenezwa kujali afya yako kwa kuwa na nyenzo za kuchuja na kusafisha maji. Kila tone ni tone safi.
RAHISI KUFUNGA NA KUTUMIA
Ondoa mabomba ya kizamani na uweke boomba la kisasa. Ni rahisi sana kuliweka, huhitaji fundi. Bonyeza kitufe tu kuruhusu au kuzuia maji kutoka.
JINSI YA KUAGIZA
Fuata maelekezo hapa chini kuagiza. Ni rahisi tu.
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping