Skip to product information
1 of 6

Foot Massager Pad

Foot Massager Pad

Regular price 79,000.00 TZS
Regular price 89,000.00 TZS Sale price 79,000.00 TZS
Sale Sold out

PADI YA KUCHUA MIGUU

JE, UNA MATATIZO YAFUATAYO?

>Uchovu wa haraka

>Kukosa Usingizi

>Uzee na Udhaifu

>Kizunguzungu na Maumivu ya Kichwa

 

 Anza kutumia padi yetu ya kuchua miguu iliyotengenezwa kutatua matatizo yanayokusibu na kuacha miguu yako ikiwa vyema na yenye afya. Padi hii imebuniwa kwa kuzingatia utamaduni na teknolojia ya kisasa kuondoa maumivu na kusisimua misuli na mishipa ya miguu.

Rejesha afya ya miguu na nguvu ya mwili wako kwa kuchua miguu kwa kutumia padi hii ya kisasa  iliyozingatia asili ya mwanadamu. Mkombozi wa miguu yenye matatizo Tanzania. Padi hii ina sifa mbalimbali zinazompa mtumiaji unafuu wa aina zote.

RAHISI KUTUMIA, IMARA NA RAHISI KUHIFADHI

Padi ya kuchua miguu imetengenezwa kwa nyenzo ngumu, imara na zinazodumu kwa muda mrefu. Nyenzo hizi zinaruhusu kukunjika na kuhifadhika bila kuharibika. Padi hii ina kifaa cha kubadili nguvu za uchuaji na umeme wake unadumu kwa muda mrefu sana.

Padi yetu ni nyepesi sana hivyo unaweza kuibeba kirahisi na kwenda nayo popote bila matumizi ya nguvu za ziada.

WAZAWADIE UWAPENDAO

Padi hii ni zawadi nzuri kwa uwapendao. Jizawadie mwenyewe ama ndugu, jamaa na marafiki. Woneshe ni jinsi gani unathamini afya na utendaji kazi wao.

Jinsi ya Kuagiza: Bofya kitufe cha Kuweka Oda kisha jaza taarifa zako na usubiri maelekezo yetu. Utaletewa mpaka ulipo na kama umemzawadia mtu mwinginne basi naye atapelekewa mpaka alipo.

 


 

 

 

 

 

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details