Skip to product information
1 of 6

Car Phone Holder

Car Phone Holder

Regular price 69,000.00 TZS
Regular price 79,000.00 TZS Sale price 69,000.00 TZS
Sale Sold out

STENDI YA SIMU KWENYE GARI

Usihangaike tena wala kuwa na wasiwasi wa simu yako unapokuwa unaendesha gari. Stendi hii ni suluhisho la kudumu. Stendi ya kisasa yenye uwezo wa kipekee sasa inapatikana Tanzania.  

INA CHAJA ISIYO NA WAYA

Haya ni mapinduzi yanayopatikana kwenye stendi yetu. Huhitaji kuchomeka chaja yenye waya ili kichaji simu yako. Stendi hii ina uwezo wa kuchaji simu bila kuunganisha chaja moja kwa moja kwenye simu. Waya unaishia kwenye kava tu la stendi tu. Pia inafaa kwenye aina zote za matundu hewa ya kwenye gari.

 


 UWEZO WA KUFUNGUA KWA KUGUSA

Ukishaweka simu yako, huna haja ya kuitoa ili kuifungua. Kava la stendi hii limengenezwa na kitufe cha kuweza kusoma alama za vidole na kufungua simu yako.

 UWEZO WA KUNGUKA NYUZI 360

Stendi hii ina uwezo wa kugeuka pande zote kwa urahisi. Zungusha tu.


RANGI MBALIMBALI

Furahia muonekano tofauti utakaoendana na uzuri wa gari lako.


JINSI YA KUAGIZA

Weka Oda yako kwa kujaza taarifa zako kisha subiri simu itakayokupatia maelekezo. Utaletewa stendi yako bure na utafanya malipo baada ya kupokea bidhaa.


 

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details