Car Dent Puller
Car Dent Puller
Ni rahisi sana kuondoa michubuko na mikunjo kwenye gari yako ukitumia kifaa hiki kidogo chenye uwezo mkubwa sana wa kurudisha mwonekano mzuri wa gari lako. Ondoa wasiwasi ukiwa na kifaa hiki.
HAKUNA HAJA YA GEREJI TENA
Kwanini upoteze muda kupeleka gari lako kwenye karakana? Popote pale ulipo ukliwa na kifaa chetu unaweza kuwa fundi sahihi wa gari lako mwenyewe. Huwezi kuepuka mikwaruzo unapokuwa barabarani mara zote. Hivyo ni salama zaidi ukiwa na Car Dent Puller.
RAHISI SANA KUTUMIA
Huhitaji kutumia nguvu nyingi. Vuta tu.
MATUMIZI YA ZIADA KILA SIKU
Unahitaji kifaa hiki kwenye maisha ya kila siku. Tumia kunyoosha au kuvuta kuta za jokofu, samani, milango na sakafu za vigae.
JINSI YA KUAGIZA
Ni rahisi sana. Gusa kitufe cha kuagiza na fuata taratibu zifuatazo na umiliki bidhaa hii ndani ya muda mfupi.
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping