Skip to product information
1 of 5

Beard Oil with Derma Roller

Beard Oil with Derma Roller

Regular price 79,000.00 TZS
Regular price 89,000.00 TZS Sale price 79,000.00 TZS
Sale Sold out

MAFUTA ASILI YA KUKUZA NDEVU

Ni rahisi sana kuwa na ndevu nyingi zenye afya ukitumia mafuta yetu asilia na kifaa maalum cha kuchochea uchipuaji wa ndevu (derma roller). Mjumuiko huu huleta matokeo bora ndani yya muda mfupi bila kuathiri afya ya ngozi.

Mafuta haya huleta matokeo katika kipindi cha hatua tatu tu za utumiaji.

 

UKUAJI WA HARAKA MARA 10 ZAIDI

Hata kama hauna ndevu kabisa, Mjumuiko wetu utakuletea ukuaji wa haraka zaidi mara 10 ya ukuaji wa kawaida.

MAFUTA YA VIUNGO ASILIA

Mafuta yetu yametengenezwa kutoka kwenye mimea na kuchujwa vyema bila athari za kemikali. Uchakataji makini unaoleta matokeo kwa kurutubisha afya ya vinyweleo na ngozi.

 

KAZI YA DERMA ROLLER

Derma Roller ni kifaa kinachosaidia kuongeza mtiririko wa damu na kusisimua ukuaji wa vinyweleo. Mafuta huingia vizuri zaidi kwenye ngozi kwa msaada wa kifaa hiki.

HUFAA KWA AINA ZOTE ZA NDEVU

JINSI YA KUTUMIA

Safisha Ndevu au Nywele vizuri kisha dodosha matone mawili kwenye derma roller kisha  anza kusugua taratibu kwa wima na ulalo. Hakuna haja kutumia nguvu. Derma Roller ina uwezo madhubuti wa kujipenyeza kwenye ngozo yako kirahisi tu. Taratibu tu bila kuumiza wala kuchubua ngozi yako.

Hakikisha unasafisha Derma Roller kwa maji ya moto baada ya matumizi. Tunakushauri kutumia Derma Roller mara 2 au 3 kwa wiki.


NI ZAIDI YA NDEVU

Unaweza kutumia mjumuiko huu kukuza nywele sehemu nyingine za mwili kama vile kichwani na kifuani.

JINSI YA KUAGIZA

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details