Skip to product information
1 of 7

Baby Crib Mosquito Net

Baby Crib Mosquito Net

Regular price 69,000.00 TZS
Regular price 89,000.00 TZS Sale price 69,000.00 TZS
Sale Sold out

CHANDARUA CHA MTOTO DHIDI YA MBU

Je, wewe ni mzazi au mlezi unayejali afya ya mwanao?

Kama unamjali basi utahakikisha mtoto analala salama kabisa bila usumbufu wa mbu wala hatari ya kuambukizwa malaria. Nchini Tanzania, Malaria ni ugonjwa hatari zaidi kwa watoto, hivyo tumekuletea kinga ya uhakika.

 INAFAA KWA AINA ZOTE ZA VITANDA

Chandarua hiki kimebuniwa kuendana na karibu aina zote za vitanda vya watoto. Kikiwa kimetengenezwa kwa nyenzo bora, Chandarua chetu kinazuia mbu na kuruhusu hewa ya kutosha kwa mtoto na kuwafanya wazazi na watoto kulala salama kabisa.

HUZUNGUKA NYUZI 360

Chandarua hiki kina uwezo wa kufunika pande zote na kuzuia kila upenyo wa mbu kumfikia mtoto. Ni muda wa kulala. Usihangaike, mlinde mtoto kwa chandarua chetu.

 Chandarua hiki si kwa ajili ya kuzuia mbu pekee bali pia huzuia wadudu wengine kama vile nzi kumfikia mwanao akiwa amepumzika. Usingizi tulivu ni afya kwa mtoto.

FAIDA ZA CHANDARUA HIKI

- Hukupa amani muda wote kwani una uhakika kuwa mtoto wako yuko salama dhidi ya mbu, nzi na wadudu wengine.

- Matundu huruhusu hewa ya kutosha hivyo kuimarisha zoezi la upumuaji mtoto anapokuwa usingizini.

- Ni rahisi sana kutumia. Hutumii nguvu kufunga na kufungua na pia ni rahisi sana kusafisha.

AGIZA LEO

Rejesha usingizi wenye afya na furaha kwa mwanao. Agiza leo kwa kufuata utaratibu hapo chini baada ya kubofya kitufe cha kuagiza.

 

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details