Skip to product information
1 of 7

Blood Pressure Monitor

Blood Pressure Monitor

Regular price 79,000.00 TZS
Regular price 100,000.00 TZS Sale price 79,000.00 TZS
Sale Sold out

KIFAA CHA MKONONI CHA KURATIBU SHINIKIZO LA DAMU

Tunakuletea Kifaa cha kisasa na cha uhakika kinachoweza kupima shinikizo la damu (Blood Pressure) unachoweza kukitumia popote pale bila hata uwepo wa mtaalam wa afya.

USAHIHI WA HALI YA JUU

 Kipimo hiki kinapima shinikizo la damu kwa usahihi wa hali juu. Ondoa mashaka juu ya hali yako ya kiafya kwa kupata matokeo sahihi ya shinikizo la damu.

HUPIMA MAPIGO YA MOYO 

 Kifaa hiki kina uwezo mkubwa wa kupima mapigo ya moyo hivyo kuwa na taarifa sahihi za mwenendo wa mapigo yako ya moyo na kuchukua hatua stahiki pale unapoona vipimo haviko sawa.

KINAWEZA KUTUMIWA NA WATU WAWILI

 Kifaa hiki kina uwezo wa kuratibu na kutunza taarifa za watu wawili. Hivyo unaweza kukitumia wewe pamoja na mtu wako wa karibu na taarifa zenu zikahifadhiwa vyema bila kuchanganywa.

SPIKA KWA AJILI YA SAUTI

 Sikiliza na pata kengele kukujuza mwenendo au athari ya vipimo husika. Kifaa chetu kimeundwa na Spika ndogo yenye ubora kwa ajili ya kutoa sauti.

MATUMIZI YA USB NA BETRI

 Usijali kuhusu umeme kwani kifaa hiki kinatumia betri za kawaida na ina sehemu ya kuweka USB ili kuchaji. Kuwa na uhakika wa utendaji wa kifaa chako kwa masaa 24.

RAHISI SANA KUTUMIA NA KUHIFADHI

 Arm Automatic Blood Pressure Monitor ni mapinduzi yasiyohitaji nguvu nyingi au ujuzi mwingi kutumia. Bofya mara moja tu kuruhusu kifaa kuratibu shinikizo la damu na usome kwa urahisi matokeo ya upimaji wako. Si kizito kubebeka ma unaweza kutembea nacho popote wakati wote.

AGIZA LEO

Jinsi ya kuagiza ni rahisi. Bofya alama ya 'kuagiza' na ufuate maelekezo. Usisubiri. Agiza leo na uanze kuishi maisha ya furaha yasiyo na wasiwasi kwa kujua mwenendo wa afya yako wakati wote. Kifaa hiki ni mkombozi dhidi ya matatizo ya ghafla ya Shinikizo la damu na moyo. Agiza sasa.

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details