Anti-Theft Fashion Shoulder Bag
Anti-Theft Fashion Shoulder Bag
Regular price
69,000.00 TZS
Regular price
89,000.00 TZS
Sale price
69,000.00 TZS
Unit price
per
BEGI LA KISASA LISILOWEZA KUIBIWA
Begi hili`la kisasa limebuniwa ili kuwekwa kwa mtiindo usioweza kuibiwa unapokuwa nalo begani. Lina nyenzo ngumu na imara zisizochanika wala kufunguliwa kirahisi.
USB MAALUM KWA KUCHAJI
Unaweza kulitumia mahalipopote ukiwa na vifaa vyakovya kidigitali bila kuhofia kuishiwa chaji kwani Begi hili limetengenezwa na USB maalum inayodumu ii kuruhusu kuchaji kifaa chako.
HALIPITISHI MAJI
Nyenzo zake haziruhusu maji kupenya hivyo kuhakiki usalama wa vifaa vyako, karatasi au vitu vingine muhimu vnavyoweza kuathiriwa na maji.
HIFADHI VIFAA VYAKO KISASA ZAIDI
LINAREKEBISHIKA
Kuwa huru kurekebisha urefu wa begi lako na kuliweka kadri upendavyo. Kuna sehemu maalum zinazoruhusu kufanya marekebisho.
RANGI MBALIMBALI
JINSI YA KUAGIZA
Ni rahisi sana. Gusa kitufe cha kuagiza na fuata taratibu zifuatazo na umiliki bidhaa hii ndani ya muda mfupi.
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping