Skip to product information
1 of 6

Anti-Sensitive Whitening Toothpaste

Anti-Sensitive Whitening Toothpaste

Regular price 69,000.00 TZS
Regular price 89,000.00 TZS Sale price 69,000.00 TZS
Sale Sold out

Dawa hii ya meno imetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ya kusawazisha rangi kwenye meno na kuyafanya kuwa meupe. 

V34 ni dawa isiyo na madhara kwenye kinywa. Haina vichochezi hasi kwenye afya ya kinywa na mwili kwa ujumla. Ni salama kutumiwa wakati wote na mtu yeyote kufuata maelekezo. Anza kutumia dawa hii leo.

REJESHA TABASAMU

Tabasamu kwa kujiamini ukiwa na meno meupe na safi. Hakuna kuhofia harufu mbaya ya kinywa ukitumia V34.

Onesha furaha yako kwa tabasamu pana ukiwa na uhakika wa afya ya kinywa chako. Dawa ya Meno ya V34 ndo suluhisho na hitaji muhimu zaidi kwa maisha mazuri ya meno, ulimi na kinywa.

JINSI YA KUAGIZA

Ni rahisi sana kuagiza. Bofya kitufe cha kuagiza bidhaa na mtiririko ufuatao utakurahisishia kupokea bidhaa yako. Hakiki bidhaa hii ndipo ulipie. Anza kuona matokeo baada ya muda mfupi.

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details