Skip to product information
1 of 6

Anti Cockroach Poison Gel

Anti Cockroach Poison Gel

Regular price 69,000.00 TZS
Regular price 89,000.00 TZS Sale price 69,000.00 TZS
Sale Sold out

JELI INAYOUUA MENDE

Bado unasumbuliwa na Mende nyumbani, ofisini, kiwandani au popote pale?

Tunakuletea 'Roach Doctor' suluhisho la changamoto ya mende popote duniani. Dawa hii ipo katika mfumo wa jeli iliyotengenezwa kwa sumu kali inayoangamiza mende papo hapo. Dawa hii kwa sasa inapatikana Tanzania nzima.

HUFANYA KAZI MPAKA NJE

Sio ndani pekee, bali hata nje kwenye vizingiti vya mlango, kona za ukuta au kwenye madirisha, Jeli yetu inaweza kufanya kazi kwa ufanisi.

RAFIKI WA MAZINGIRA

Dawa yetu imezingatia usafi. Haiachi uchafu wala kuharibu mazingira popote pale itakapotumika. Pia, haina madhara kwa binadamu kama itatumiwa kwa usahihi bila kuingia mwilini moja kwa moja. 

RAHISI SANA KUTUMIA NA KUHIFADHI

Ni nani asiyeweza kubinya kichupa laini chenye umbo dogo?

Jeli hii ni rahisi sana kutumia kwani ni ya kubinya kidogo tu. Hakikisha unaitumia sehemu zenye makazi ya mende kama vile kwenye kona za ukuta, samani, pembe za milango na madirisha. Hifadhi mahali pakavu pasipofikiwa kirahisi na watoto.

JINSI YA KUAGIZA

Bofya alama ya 'KUAGIZA' kisha fuata maelekezo. Utapokea simu kutoka kwa wahudumu wetu na utaletewa dawa yako popote ulipo Tanzania.

Kwanini uteswe na mende wakati 'Roach Doctor' ipo?

AGIZA SASA.

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details