Aluminum Tape
Aluminum Tape
Regular price
59,000.00 TZS
Regular price
79,000.00 TZS
Sale price
59,000.00 TZS
Unit price
per
MKANDA WA ALUMINI USIO INGIZA MAJI
MKANDA USIOUNGUA KIRAHISI
Nyenzo ngumu za Alumini katika mkanda huu huzuia kuungua kirahisi. Hivyo huwa wasiwasi wa kuathiriwa na joto kali au moto pale unnapoziba vifaa au bati kwa kutumia mkanda huu usio ruhusu maji kupenya.
Mkanda huu unapatikana Tanzania kwaa sasa hivyo ni muda sahihi wa kuzuia hasara zitokanazo na kuvuja kwwa vimiminika.
KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA VIWANDANI
Iwe unahitaji kuziba paa la nyumbani na kujikinga dhidi ya mvua ama kuziba mabomba makubwa viwandani. Mkanda kuu ndio suluhisho. Una upana na urefu wa kutosha kuziba ufa na matundu kwa ufanisi. Umetengenezwa kwa gundi maalum ili kushika vyema kwenye nyuso za vitu.
RAFIKI WA MAZIINGIRA
Mkanda wa Alumini usiopitisha maji umetengenezwa kukidhi usafi na utunzaji wa mazingira. Mbadala sahihi wa matumizi ya mimea au udongo kuziba vitu mbalimbali.
- High Quality
- Free Returns
- Free Shipping