Skip to product information
1 of 6

Aluminum Tape

Aluminum Tape

Regular price 69,000.00 TZS
Regular price 79,000.00 TZS Sale price 69,000.00 TZS
Sale Sold out

MKANDA WA ALUMINI USIO INGIZA MAJI

MKANDA USIOUNGUA KIRAHISI

Nyenzo ngumu  za Alumini katika mkanda huu huzuia kuungua kirahisi. Hivyo huwa wasiwasi wa kuathiriwa na joto kali au moto pale unnapoziba vifaa au bati kwa kutumia mkanda huu usio ruhusu maji kupenya.

Mkanda huu unapatikana Tanzania kwaa sasa hivyo ni muda sahihi wa kuzuia hasara zitokanazo na kuvuja kwwa vimiminika.

KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA VIWANDANI

Iwe unahitaji kuziba paa la nyumbani na kujikinga dhidi ya mvua ama kuziba mabomba makubwa viwandani. Mkanda kuu ndio suluhisho. Una upana na urefu wa kutosha kuziba ufa na matundu kwa ufanisi. Umetengenezwa kwa gundi maalum ili kushika vyema kwenye nyuso za vitu.

RAFIKI WA MAZIINGIRA

Mkanda wa Alumini usiopitisha maji umetengenezwa kukidhi usafi na utunzaji wa mazingira. Mbadala sahihi wa matumizi ya mimea au udongo kuziba vitu mbalimbali.


 

 

 

  • High Quality
  • Free Returns
  • Free Shipping
View full details